RIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU

December 28, 2015
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam jana.
 Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG