WAZIRI MBARAWA ATEMBELEA BANDARI YA TANGA AHAIDI UJENZI WA BANDARI YA MWAMBANI UPO

March 04, 2016
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa
Makame Mbarawa kushoto akimsikilia Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wakati alipotembelea eneo la Mwambani kunapotarajiwa kujengwa Bandari ambapo alitembelea eneo hilo kujionea namna lilivyo.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa wa pili kutoka kushoto akionyeshwa eneo litakalojengwa Bandari ya Mwambani na Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wakati alipotembelea eneo la Mwambani kunapotarajiwa kujengwa Bandariambapo alitembelea eneo hilo kujionea namna lilivyo.

 Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa katikati akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Abdulla Lutavi wakati alipotembelea eneo ambalo kutajengwa bandari mpya ya Mwambani kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari yaTanga,Henry Arika.
 Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kulia akisistiza jambo kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Proffesa Makame Mbarawa wakati alipofanya ziara ya kutembelea Bandari hiyo kulia ni PRO wa TPA Tanga,Moni Jarufu.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wakati alipofanya ziara ya kutembelea leo kuangalia namna
inayofanya kaz.

MKUU WA MAJESHI AONGOZA KUWAAGA MAOFISA MAJENERALI 16 WA JWTZ WALIOSTAAFU

March 04, 2016
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas Meela wakitoa heshima katika hafla ya kuagwa iliyofanyika Viwanja vya Twalipo Mgulani Dar es Salaam leo mchana. Maofisa Majenerali 16 waliostaafu Utumishi Jeshini waliagwa.
Brigedia Jenerali mstaafu, Msangi (kulia mbele), akikagua gwaride maalumu waliloandaliwa maofisa hao wastafu wakati wakiagwa rasmi baada ya kumaliza utumishi wao jeshini.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), mstaafu Meja Jenerali, Raphael Muhuga, akikagua gwaride hilo.
Wanafamilia wa wastaafu hao wakiwa kwenye hafla hiyo ya kuagwa jamaa zao.
Ukaguaji gwaride rasmi ukiendelea.
Maofisa hao wastaafu wakiwa jukwaa kuu.
Hapa maofisa hao wakiwa wamesimama wakati gwaride likipita jukwaa kuu na kutoa heshima.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali, Davis Mwamunyange (kushoto), akisalimiana na kumpongeza Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas Meela katika hafla hiyo.
Askari wa JWTZ wakifuatia matukio mbalimbali kwenye 
hafla hiyo.
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba, akikagua gwaride hilo maalumu kwa ajili ya kuagwa.
Gwaride likipita mbele ya jukwaa kuu kutoa heshima.

Gwaride likipita mbele ya jukwaa kuu kutoa heshima.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali, Davis Mwamunyange (kushoto), akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi hilo mstaafu, Luteni Jenerali, Samuel Ndomba.
Wapiga picha wa magazeti wakiwa kazini kuchukua matukio mbalimbali.
Taswira ya jukwaa kuu katika hafla hiyo.
Wastaafu hao wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa majeshi.
Mkuu wa majeshi, Davis Mwamunyange (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa majeshi wastaafu. Kushoto Robert Mboma na George Waitara (kulia).
Mkuu wa majeshi akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Samuel Ndomba.
Hapa ni furaha tupu kwa kustaafu utumishi ndani ya jeshi.
Askari wa JWTZ wakiwa imara wakati wa kuwaaga maofisa hao.
Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas Meela wakitoa heshima katika hafla ya kuagwa iliyofanyika Viwanja vya Twalipo Mgulani Dar es Salaam.
Hapa ni saluti wakati wakiwaaga wapiganaji wenzao.

Na Dotto Mwaibale

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewaaga Mameja generali, Luteni na Brigedia Generali 16, akiwemo, aliyekuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Luteni Generali Samwel Ndomba.

Tukio la kuwaaga majenerali hao ambao wamestaafu  utumisho wao jeshini limefanyika jijini Dar es Salaam leo katika viwanja Twalipo Mgulani saa tatu hadi saa tatu asubuhi ambapo liliambatana na gwaride maalumu la vikosi mbalimbali vya Anga, nchini kavu, majini pamoja na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Hafla hiyo ya kuwaaga Magenerali hao iliongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Davis Mwamunyange ambapo waaga hao ni wa vyeo mbalimbali vya Brigedia Generali waliokuwa nane, Meja Jenerali sita na Luteni wawili na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali na wastaafu wa jeshi hilo.

Majenerali hao kila mmoja alipata fursa ya kukagua gwaride kila alipowasili viwanjani hapo ambapo kati yao ni Luteni Generali walipata heshima ya pekee na kufanyiwa gwaride lililokuwa tofauti na wengine.

Majenerali hao ni Mnadhim Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama JWTZ, Luteni Jenerali Samwel Ndomba ambaye pia aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Mkuu wa Utumishi katika jeshi hilo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Wengine ni Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi jeshini, Luteni Jeneral Paul Ignas ambaye pia aliwahi kuwa ni Mkuu wa Mjeshi ya kulinda amani Darfur nchini Sudani.

Kwa upande wa Mameja Jenerali ambao walipewa heshima na kukagua vikosi hivyo ni Mkuu wa Jeshi la Nchi kavu, Meja Jenerali Salum Kijuu, Mkuu wa Utumishi Jeshini, Meja Jenerali Vicent Mlitaba, Mkuu wa Jeshi la Anga, Meja Jenerali Joseph Kapwani, Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo Duruti mkoani Arusha Meja Jenerali Ezekiel Kiunga.

Wengine ni Mkuu wa Shirika la Mzinga mkoani Morogoro, Meja Jenerali Chalres Mzanila, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Mhunga.

Na wengine ambao ni Mabrigedia ni Mkuu wa Chuo cha Kijeshi cha Sayansi ya Tiba Lugalo, Brigedia Jenerali Dk.Luhindi Msangi , Mkuu Tawi la Ukaguzi jeshini ambaye pia aliwahi kuwa mkaguzi wa majeshi ya SADC, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga.

Wengine ni Mkuu wa Tawi la Akiba, Brigedia Jenerali Agustino Gailanga ambaye pia aliwahi kuwa mpambe wa Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, Mratibu wa Miradi ya Maendeleo Jeshini, Brigedia Jenerali Mrisho Abdallah , Mkuu wa Kikosi cha Ndege cha usafirishaji, Brigedia  Jenerali Ezra Ndimugwango.

Na wengine ni Kamanda wa Brigedi ya Tembo mkoani Songea, Brigedia Jenerali John Chacha, Mkurugenzi wa Mahusiano ya Kimataifa jeshini, Brigedia Jenerali Martini Mwankanye na Mkuu wa Shule ya 'Eflantria' mkoani Arusha, Brigedia Harodi Mzirai.

Akizungumza mara baada ya hafla hiyo Luteni Jenerali mstaafu Ndumba alifurahia hatua hiyoa na kubainisha kuwa kwa sasa wanaenda kuanza maisha mapya.

KILIMO CHAMKOMBOA MAMA MJANE MWENYE ULEMAVU WA MIGUU BUMBULI WILAYANI LUSHOTO

March 04, 2016
 Bi. Zaharia Ally (54) akiwa na wajukuu zake nyumbani kwake.
Bi. Zaharia Ally ambaye hayupo pichani hutembea umbali wa Kilometa zaidi ya Tatu  kutoka kwake kufika katika eneo hili  kufuata kuni kwa Mahitaji ya Nyumbani ikiwemo kupikia.
Eneo hili ni Shamba la Bi. Zaharia Ally kwa ajili ya Kilimo cha Maharagwe na Mahindi

Hapa ni Nje ya nyumba ya Bi. Zaharia (Ambaye hayupo pichani) akionesha mzigo wa kuni

 Na Blogs za Mikoa Tanzania.

kuna haya maneno yanasema kuwa Ardhi ni moyo wa mwanamke katika kujikomboa kimaisha

Pamoja na jitihada mbalimbali za kumwendeleza mwanamke katika kujikwamua na umaskini raslimali ya ardhi ndiyo chachu kubwa ya kuwawezesha wanawake kujikwamua na umaskini hapa nchini.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 54 anaetambulika kwa jina la Zaharia Ally mkazi wa Bumbuli wilayani Lushoto, mkoani Tanga ni miongoni mwa wanawake wanye changamoto za maisha na wanaopambana kujenga familia zao.

Mwanamke huyo ambaye ni mjane na mlemavu wa mguu amekuwa akijikita katika kilimo jambo linalomuwezesha kuweza kujikimu kimaisha na familia yake yenye watoto wanne.

Ingawa mwanamke huyo ni mjane kwa zaidi ya miaka 15 kilimo kimekuwa mkombozi mkubwa kwake baada ya na kuonyesha ukomavu kwamba mwanamke akitambua wajibu wake katika familia hata akipatwa na matatizo anapambana kuhakikisha anamudu majukumu yake kama mama katika familia.

Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania wananchi wanaojihusisha na kilimo na ufugaji ni zaidi ya asilimia 70% ambapo wanawake ndiyo chachu ya maendeleo katika kazi zote hizo.

Wanawake wanaadhimisha siku yao tarehe 08.03 2016 ambapo kauli mbiu kwa mwaka huu inasema '50 kwa 50 ifikapo 2030 tuongeze jitihada'.

Siku hii huwa ni mahsusi kwa wanawake kukutana katika maeneo mbalimbali na kukumbushana mambo muhimu katika kuondokana na mfumo dume katika jamii na kupiga hatua za maendeleo.

Hata hivyo taasisi binafsi pia zitajumuika katika siku hiyo ambapo Oxfam Tanzania kupitia mradi wake wa  Grow unaoendesha shindano la mama shujaa Wa chakula watakua mkoani Mtwara kushererekea na kutoa ujumbe kwa jamii hasa umiliki Wa ardhi kwa wanawake

Regards Tone Multimedia Company Limited Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892 E-Mail info@tonemg.com Facebook: www.facebook.com/blogszamikoa Web: www.tonemg.com
REVIEW WORKSHOP OF TANZANIA HUMAN DEVELOPMENT REPORT 2017

REVIEW WORKSHOP OF TANZANIA HUMAN DEVELOPMENT REPORT 2017

March 04, 2016
Dr. Tausi Kida
Executive Director of ESRF, Dr. Tausi Kida, speaks during a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016.(Photos; K-VIS MEDIA/Khalfan Said).
MARC
Principle Research Associate, ESRF, Marc Wuyts, presents his paper.
samwel wangwe Professor Wangwe, (top to bottom), speaks at the beginning of a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016. Danford Sango_ESRF Research Fellow of ESRF, Danford Sango, on behalf of his Executive Director, makes his opening remarks at the start of a two-day review workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report, THDR, 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016.
marc3 Principle Research Associate, ESRF, Marc Wuyts, presents his paper.
Dr. Tausi KIda
Executive Director of ESRF, Dr. Tausi Kida (L), and Professor Wangwe, listening attentively.
MASHAVU
Flora Kessy, (L), Professor of Development Studies, Mzumbe University, Dar es Salaam Campus, and Mashavu Omar, Commissioner for Monitoring and Evaluation, Zanzibar Planning Commission in a tête-à-tête. DSC_5148 Participant from the Development partner reads the agendas and timetable. DSC_5137 Some of the participants read the leaflets with the details of the workshop. twaweza Some of the participants read the leaflets with the details of the workshop. Semboja Chief Executive Officer of Uongozi Institute, Professor Joseph Semboja, makes his contribution following paper presentation at day-one of a two-day workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017 in Dar es Salaam, March 3, 2016. Rogers
Rogers Dhliwayo (L), Economics Adviser/Senior Economist at UNDP Tanzania Country Office give his views during a workshop on the first drafts of background papers for Tanzania Human Development Report 2017.
prof
Reading the agenda and timetable. Group pix Workshop participants in a group photo.