January 12, 2014
Peace Proscovia akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Tanzania Bara
Mchezaji wa Tanzania, Sofia Komba akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Uganda
Mwanaidi Hassan wa Tanzania Bara akidaka mpira pembeni ya wachezaji w Uganda
Mwanaidi kulia na mchezaji wa Uganda
Sofia Komba alicheza sana leo kujibu mapigo ya mpenzi wake, Joseph Owino aliyeifungia Simba SC bao jana katika ushindi wa 2-0 kwenye soka dhidi ya URA
January 12, 2014

*SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MAATUKUFU YA ZANZIBAR ZAFANA.

 Askari wa zamani wanaoigiza gwaride la enzi za ukoloni, 'Tarabush' wakipita mbele ya jukwaa kuu na kuonyesha jinsi askari hao walivyokuwa wakicheza gwaride hilo, wakati waa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Amani katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akikagua gwaride maalum la sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akikagua gwaride maalum la sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo mchana.
January 12, 2014

Hivi ndivyo Wagosi wa Kaya walipomchapa mtu 2-0...leo jioni.



 Mwenyekiti wa Coastal Union akiwa na mwenyekiti wa Musanaa, kabla ya kuanza mechi.

 Leo Kibacha alilazimika kutoka kipindi cha kwanza na nafasi yake ikachukuliwa na Marcus, baada ya kuumia bega na kushoto.