RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA NANE NANE KITAIFA 2023

August 07, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili vikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.

NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ATEMBELEA BANDA LA NEC MAONESHO NANE NANE DODOMA

August 07, 2023

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Deogratius Ndejembi akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Bi.Monica Mnanka aliyekua akimpa Elimu ya Wapiga Kura wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika viwanja vya Nzuguni yanapofanyika maonesho ya Wakulima Nane Nane Kanda ya Kati, Dodoma leo Agosti 6,2023.

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Deogratius Ndejembi akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Bi.Monica Mnanka aliyekua akimpa maelezo namna uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linavyofanyika wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika viwanja vya Nzuguni yanapofanyika maonesho ya Wakulima Nane Nane Kanda ya Kati, Dodoma leo Agosti 6,2023.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Bi.Monica Mnanka akimpa maelezo namna uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linavyofanyika katika viwanja vya Nzuguni yanapofanyika maonesho ya Wakulima Nane Nane Kanda ya Kati, Dodoma leo Agosti 6,2023.

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tume waliokuwa katika banda hilo la Tume.

Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za mkoani Dodoma ni miongoni mwa wadau wanaotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwaajili ya kujifunza masuala mbalimbali ya uchaguzi.

Afisa wa Tume kutoka Kitengo cha Usimamizi wa Sheria, Jamila Mziray akimsikiliza mwananchi aliyetemberlea banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Bi.Monica Mnanka akitoa Elimu ya Mpiga Kura.

Afisa wa Tume, Bi. Johari Mutani (kushoto) ambaye ni Mtaalam wa Lugha ya Alama akimsikiliza mdau wa uchaguzi mwenye ulimavu wa uziwi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwanja vya Nzuguni Dodoma yanapofanyika maonesho ya Kilimo Nane Nane.

MFUMO WA REEFER CONTAINERS KUNUFAISHA WAKULIMA

August 07, 2023

Kukamilika kwa Mfumo wa Makasha yanayotumia Umeme kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa ambazo zinaweza kuharibika kutokana na Joto kutawezesha wakulima mbalimbali wanaotaka kusafirisha bidhaa hizo kwenda nje ya nchi kupitia Bandari ya Tanga Kusafirisha bidhaa hizo bila kuharibika.

Hayo yamesemwa na Afisa Masoko na Huduma kwa Wateja wa bandari ya Tanga Habiba Godigodi wakati wa Maonyesho ya Wakulima Nanenane kanda ya Mashariki Mjini Morogoro ambapo Bandari ya Tanga wanashiriki ili kuweza kutangaza fursa zilizopo.

Habiba alisema kuwa kulikuwa na changamoto kwa Wakulima wanaosafirisha bidhaa kama Matunda mbalimbali pamoja na Maua kushindwa kusafirisha bidhaa hizo kutokana na kutokuwepo kwa njia sahihi ya kuhifadhi bidhaa hizo hivyo bandari ya Tanga imetengeneza  eneo maalum la  kuhifadhia makasha yenye mfumo wa umeme ili waweze kuhifadhi wakati wanapotaka kusafirisha bidhaa hizo.

"Hivyo ni fursa kwenu wafanyabiashara kuitumia Bandari ya Tanga kusafirisha bidhaa hususani wakulima wa matunda mbalimbali pamoja na maua kutokana na uwepo wa sehemu sahihi ya kuhifadhi bidhaa hizo  kupitia makasha yenye mfumo wa umeme "Alisema