TIGO YAPATA TUZO YA KIPENGELE CHA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA SABASABA

July 01, 2017
Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Na Mpiga Picha Wetu).

LAPF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MIFUKO YA KIJAMII KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

July 01, 2017
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe akipokea tuzo kutoka kwa Rais JP Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa Kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba katika kategori ya mifuko ya Hifadhi ya jamii, Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage Mapema leo Jijini Dar es salaam. 

Meneja masoko na mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe Akipokea tuzo kutoka kwa Rais wa JP Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba Mapema leo Jijini Dar es salaam.

Tuzo ya Mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba katika viwanja vya Mwl JK Nyerere barabara ya Kilwa DSM. Tuzo hii ilikabidhiwa kwa Mfuko wa Pensheni wa LAPF na Raisi Dr. John Pombe Magufuli Mapema leo Jijini Dar es salaam.

Rehema Mkamba afisa mwandamizi masoko na mawalisiliano Bi Rehema mkamba akoionyesha tuzo baada ya LAPF Kuibuka mshindi wa kwanza katika kategori ua mifuko ya hifadhi ya jamii na bima kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba 2017 Mapema leo Jijini Dar es salaam.

Wafanyakazi wa LAPF nje ya banda lao wakifurahia tuzo yao ya kuwa mshindi wa kwanza kategori ya mifuko ya Pensheni na Bima katika maonyesho ya 41 ya sabasaba waliyokabidhiwa na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe . Magufuli mapema leo.

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO KINARA WA MAWASILIANO MAONESHO YA 41 YA SABASABA

July 01, 2017
 Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam leo. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

WATEJA WA TIGO KUFURAHIA MAWASILIANO YA BURE KWA MWAKA MZIMA

July 01, 2017

Kaimu Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga akiongea na waandishi wa habari wakati wa mwendelezo wa uzinduzi 'Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi' Pichani kushoto ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Bakari Majjid na kulia Mchekeshaji Lucas Mhavile JOTI.

Meneja wa Mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akielezea jambo wakati wa uzinduzi wa J'aza Ujazwe Ujaziwe zaidi' jijini Dar Es Salaam leo

Waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa mkutano huo mapema leo.

MHE KISARE MAKORI AZINDUA BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA UBUNGO

July 01, 2017
MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

Wadau mbalimbali wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, wakimsikiliza MKUU wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori Leo June 30, 2017 wakati wa ufunguzi wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg James Mkumbo akimsikiliza MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

Mwenyekiti wa TCCIA-Ubungo Ndg Clement Bocco akisikiliza hoja za wajumbe kwenye mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori (Kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg john Lipesi Kayombo wakati mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

Mwanasheria wa Manispaa ya Ubungo Ndg Merick Luvinga akifatilia mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori (Katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg john Lipesi Kayombo na Mwingine ni Mwenyekiti wa TCCIA-Ubungo Ndg Clement Bocco, Leo June 30, 2017

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akimsikiliza kwa makini MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori kwenye mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

Kushoto ni Afisa Utumishi Mkuu Manispaa ya Ubungo Ndg Ally Juma Ally, Mwingine ni Mchumi Mkuu Manispaa ya Ubungo Ndg Yamo Wambura wakimfatilia kwa makini MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori kwenye mkutano wa wadau wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017

Na Mathias Canal, Dar es salaam

MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori leo June 30, 2017 amezindua Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo.

Akihutubiwa wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye Mkutano huo wa ufunguzi wa Baraza hilo uliofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Ubungo uliopo Kibamba CCM, Mhe Makori alisema kuwa lengo la kuanzishwa kwa Baraza la Biashara la Taifa ni uwezeshaji wa wananchi kiuchumi na serikali kwa kushirikisha wadau mbalimbali.

Katika uzinduzi wa Baraza la Biashara Wilaya ya Ubungo Wadau mbalimbali wameshiriki kutoka Sekta binafsi, Mashirika yasiyo ya kiserikali na watu binafsi kutumia fursa zilizopo katika mazingira yanayowazungumza kwa kuwezeshwa kiuchumi.

Mhe Makori alisema kuwa kupitia Mabaraza ya Wilaya wananchi wataongeza uwezo wao wa ubunifu na uzalishaji na biashara ambapo kwa uwezeshaji huo wananchi watafikia matarajio yao ya kuwa na maisha bora.

Alisema kuwa ili kufikia lengo hilo sera mbalimbali zimetekelezwa ikiwa ni pamoja na kupitishwa kwa sera na sheria namba 16 ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ya mwaka 2004, Kuundwa kwa baraza la Taifa la uwezeshaji kiuchumi mwaka 2015 na Uanzishwaji na uimarishwaji wa mifuko mbalimbali ya kuwezesha wananchi kiuchumi.

Alisema kuwa kutokana na upya wa Wilaya ya Ubungo ilitakiwa kuunda Baraza lake la Biashara likiwa chini ya Baraza la Mkoa na Taifa.

Mhe Kisare alisema kuwa Kuanzishwa kwa Mabaraza ya biashara ya Wilaya ni kuwa chombo cha mwanzo wa majadiliano kati ya sekta ya umma na sekta binafsi kwa lengo la kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, Kuwa chombo cha kuratibu, kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa Programu mbalimbali za maendeleo ya wananchi kiuchumi.

Kuanzishwa kwa mabaraza ya biashara Wilaya itakuwa ni sehemu ya kupeleka mafanikio ya ukuaji uchumi mpana katika ngazi ya chini ya uchumi wa jamii kwa kuwahusisha wananchi katika majadiliano ya kuibua fursa za uwekezaji kwa ajili ya kuzalisha ajira, kukuza kipato, kuongeza tija na kupunguza umasikini kuanzia ngazi ya Kijiji hadi Wilaya.

Awali akizungumza kabla ya Kufunguliwa kwa Baraza hilo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo alisema kuwa Baraza la Biashara la Wilaya lina wajumbe arobaini kutoka sekta binafsi na ya Umma, kila sekta ikiwa na wajumbe ishirini kutokana na nyadhifa, nafasi na ujuzi.

Kayombo aliongeza kuwa Baadhi ya wajumbe wanapangwa kwenye kamati/vikundi kazi kwa kuzingatia maeneo ya kipaombele yanayopaswa kufanyiwa kazi.

Mkurugenzi Kayombo alisema kuwa Uzinduzi wa kuanzishwa kwa Baraza hilo ni utekelezaji wa agizo la kuanzishwa mabaraza ya Biashara ya Wilaya lililotolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa Mhe Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa tano wa Baraza hilo Disemba 4, 2008 uliofanyika Jijini Dar es salaam ambapo alisisitiza uundwaji huo kusimamiwa na Mabaraza ya Mikoa na Taifa.

IMETOLEWA NA;
KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

Benki ya UBA yawavutia wateja katika maonyesho ya Sabasaba

July 01, 2017
 Afisa wa Bank ya UBA Tanzania, Bi Mtinta Joseph Ringa pamoja na afisa wa bank Bw. Sihika Malunguja wakifurahi kumuhudumia mmoja wa wateja aliyetembelea banda la bank ya UBA Tanzania katika Maonyesho ya 41 ya kibiashara Tanzania yaliyoanza hivi karibu. Bank ya UBA inawakaribisha wateja wote kuweza kufika katika banda lao kwaajili ya kujipatia huduma mbalimbali za kibenki ikiwemo na kufungua akaunti na kujipatia kadi mpya ya Mastercard ambayo unaweza kuwa nayo bila kuwa na akaunti.
 Afisa wa benki ya UBA Tanzania, Bw Fahimu Zuberi akimpatia maelezo kuhusiana na kadi mpya za mastercard mmoja wa wateja waliotembelea banda la benki hiyo lililopo katika banda la Sabasaba kwenye maonyesho ya 41 ya kibiashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam
 Afisa wa benki ya UBA Tanzania, Bw Fahimu Zuberi akiendelea kumpatia maelekezo ya kina kuhusiana na kadi mpya mpya za mastercard ambazo mteja anaweza kuwa nayo bila kuwa na akaunti ya benki
Wafanyakazi wa benki ya UBA Tanzania waliopo kwenye banda lao katika maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara wakiwa katika picha ya pamoja huku wakifurahia kuwahudumia baadhi ya wateja waliofika katika banda lao huku wakiwakaribisha wateja kufika katika banda lao na kujipatia huduma mbalimbali za kibenki. Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
-- ................................................................................................ NAME: JOSEPHAT LUKAZA Founder/C.E.O Lukaza Blog. Website: http://www.josephatlukaza.com "The First Blog In Tanzania to Bring Trophy in Tanzania" Phone: +255 712 390 200 E-mails: Josephat.lukaza@gmail.com
Wafanyakazi wa Mohammed Enterprises (MeTL Group) wajitolea damu

Wafanyakazi wa Mohammed Enterprises (MeTL Group) wajitolea damu

July 01, 2017
  Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Match Industries Limited ambayo ni kampuni tanzu ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) wamejitoa kusaidia maisha ya mamia ya Watanzania kwa kujitolea damu ambazo zitatumika katika hospitali mbalimbali nchini. Katika tukio hilo la kujitolea damu ambalo lilifanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo, wafanyakazi 40 walijitolea damu zao ambazo zitapelekwa kusaidia wagonjwa katika hospitalini zenye uhitaji mkubwa wa damu. Akizungumzia umuhimu wa kutoa damu, Meneja Msaidizi wa Hospitali ya Sanitas, Dr. Sajjad Fazel alisema utoaji wa damu huo ni muhimu kwa kusaidia maisha ya watu wengine kwani hata chupa moja ya damu ina muhimu mkubwa na inaweza kusaidia kuoa maisha ya watu watatu. “Kuna uhaba wa damu, kwa kila Mtanzania ahakikishe kuwa anaonyesha uzalendo na upendo wako kwa Watanzania wenzake kwa kuchangia damu na kuokoa maisha yao,” alisema Dk. Fazel.
Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Match Industries Limited ambayo ni kampuni tanzu ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) wakijitolea damu.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA BONGO STYLE WAENDESHEWA SEMINA KUHUSU PICHA,MITINDO NA UANDISHI WA FILAMU

July 01, 2017
Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  'Bongo Style Competition'  2017, kuhusiana na asasi ya FASDO
Mwezeshaji Bw. Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha,Muda na uongozi.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Bongo Style 2017, wakiwemo wapiga picha,waandishi wa miswada ya Filamu na wabunifu wa mitindo upande wa mavazi wakiwa wanafanya zoezi waliopewa na mwezeshaji Bw. Erick Chrispin (ambaye hayupo pichani)
Baadhi ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa wanafanya kazi waliyopewa na mwezeshaji Bw. Erick Chrispin (hayupo pichani) baada ya kumaliza semina yake.
 Mkufunzi na Mtaalam wa maswala ya Picha Bw. Iddy John akitoa somo juu ya maswala ya picha kwa washiriki wa Shindano la Bongo Style kundi la  Picha
Mbunifu maarufu wa Mitindo ya mavazi Martin Kadinda akitoa somo kwa washiriki  kundi la mitindo
Washiriki wa kundi la  Ubunifu wa mitindo upande wa  mavazi wakipewa vitendea kazi.
Bi. Christina Pande(aliyesimama) ambaye ni Mtunzi na muongozaji wa Filamu, akiwapa darasa vijana ambao wapo katika kundi la Uandishi wa  miswada ya Filamu shindano la Bongo Style 2017.
Picha zote na Fredy Njeje.