CRATOR YA NGORONGORO YAPATA UMAARUFU ZAIDI BAADA YA CLOUDS 360 KURUSHWA MUBASHARA KUTOKA ENEO LA MITI MITATU

April 16, 2017
Gari maalumu la kurushia matangazo ya moja kwa moja la kituo ha televisheni cha Clouds likiwa Crator ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongo kwa ajili ya kurusha kipindi cha Clouds 360.
Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi Clouds 360 moja kwa moja kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakijiandaa kuanza kipindi.
Kipindi cha Clouds 360 kikirushwa kutoka eneo la Crator Ngorongoro.
Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma wakizungumza jambo wakati wakimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani katika mahojiano wakati wa kipindi hicho.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Crator Ngorongoro.
Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri Ramo Makani.
Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ibrahim Musa (kulia) pamoja na Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete wakifuatilia kipindi hicho katika eneo la Crator.
Wananchi wa jamii ya Masai pia walijumika na askari wa Hifadhi hiyo kufuatilia kipindi hicho.
Mtangazaji wa Sports 360,James Tupatupa akivishwa vazi rasmi na wananchi kabila la Wamang'ati wakati akiingia katika kipengere cha michezo katika kipindi hicho.
Mhandisi Ramo Makani akizungumza jambo na viongozi wa TANAPA na Ngorongoro.
Naibu Waziri,Makani akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa jamii ya Wamang'ati katika ene la Miti Mitatu.Ngorongoro.
Mnyama Tembo akionekana katika eneo la Crator ,Ngorongoro.
Eneo la Mti Mitatu.
Wanyama Pundamilia ndani ya Crator,Ngorongoro.
Wanyama Nyumbu katika Crator ,Ngorongoro.
Eneo la Crator katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA AFRICA INLAND CHURCH PASTORATE YA MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM.NA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

April 16, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuwasili kanisani hapo kwa ajili ya Ibada ya Siku ya Pasaka.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
 Wanakwaya katika Kanisa hilo wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya Ibada
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani hapo.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini  Kanisani (AIC-Magomeni )  mara baada ya Ibada ya Pasaka.
 Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay DktAdelhelm Meru wakisali baada ya kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp

Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa 
la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es alaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016