ACT- WAZALENDO TANGA , KUMEKUCHA

August 07, 2015


  Katibu Mipango na Uchaguzi wa chama cha  ACT – Wazalendo, Wilaya ya Tanga, Hussein Baruti, akimkabidhi fomu ya Ubunge jimbo la Tanga, Boniventure Gregory(kushoto) katika ofisi za chama hicho barabara  ya 17 Ngamiani Tanga.


 Katibu wa Mipango na Uchaguzi Wilaya ya Tanga wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Hussein Baruti(kulia) akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Tanga, Boniventure Gregory jana katika ofisi za chama hicho barabara ya 17 Ngamiani Tanga tukio lililofanyika jana

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya ACT-Wazalendo jimbo la Tanga, Boniventure akisaini fomu ya Ubunge mara baada ya kuchukua ofisi za chama hicho barabara ya 17 Ngamiani Tanga jana.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »