WASANII WAMUAGA DR. JAKAYA KIKWETE NA KUMKARIBISHA DR JOHN POMBE MAGUFULI MLIMANI CITY

August 07, 2015

1
Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo  na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na Muungano wa wasanii Kumshukuru Mh. Dr. Jakaya Kikwete kwa jinsi alivyowasaidia katika uongozi wake wa miaka 10 kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kumkaribisha Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli, Hafla hiyo imehudhuriwa na wasanii mbalimbali  wakiwemo waigizaji wa filamu, wachezaji na wanamuziki wakishiriki kwa pamoja kumshukuru Dr. Jakaya Kikwete, Kulia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MLIMANI CITY-DAR ES SALAAM)
3
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto, Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli na Mwigizaji Jacob Steven JB wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond.  
4
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanawa pili kutoka  kushoto ar es salaam Mh Meck Sadik na Muigizaji Jacob Steven JB.
5
Mwanamuziki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwasili na Meneja wake wa Shughuli za kimataifa Bw.Salam.
6
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto wakati wakiigia ukumbini.
7
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto,Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli wa pili kutoka kulia na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba.
8
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto,Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli kulia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye wakipiga makofi wakati wimbo maalum ukiimbwa.
9
Davis Mosha kulia akiwa pamoja na Mboni Masimba wa The Mboni Show wakiperuzi kwenye simu. 
10
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Davis Mosha na Mboni Masimba
11
Rais Dr. Jakaya Kikwete akina baadhi ya viongozi wa bendi za muziki wa Taarab.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Bw. Godfrey Kusaga mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Primetime.
16
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Adam Mchomvu mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds Radio.
17
Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa mtandao huu Bw. John Bukuku kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
19
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Davis Mosha kushoto ni msanii Mwana FA.
20
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wasanii mbalimbali kutoka kushoto ni Mwigizaji Jacob Steven, Mwanamuziki Jose Mara na Mwana FA.
21
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na wasanii mbalimbali kutoka kushoto ni Mwigizaji Jacob Steven, Mwanamuziki Jose Mara, Mwigizaji Monalisa aka Yvone Cherry na Mwana FA, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik.
22
Kutoka kulia ni Mama Monalisa . Juma Kaseja, Dokii na Monalisa wakiwa katika hafla hiyo.
23
Ali Choki kushoto na anayefuatia ni msanii Kitale pamoja na wasanii wenzao wakiwa katika hafla hiyo.
24
Kutoka kushoto ni Mabosi wangu Edward Mpogole, Daniel Chongolo na Juma Kengele wakipozi kwa picha.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »