Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akitoa maelezo kwa
niaba ya Tanzania kuhusu hali ya wakimbizi nchini katika Mkutano wa 66
wa Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR) unaofanyika jijini Geveva nchini Switzerland leo.
Katikati ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,
Geneva, Balozi Modest Mero.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.