Rais
wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la
Wizara Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Oktoba 6, 2015.
Rais
wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo jipya la Wizara ya
Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba
6, 2015 ,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakari na
(kulia) Katibu Mkuu Asaa Omar Hamad.
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Asaa Omar Hamad (kulia)
wakati akilipotembelea Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria
liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba 6, 2015 baada ya
kulifungua rasmi,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis
Bakari.
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoka nje ya Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria alipomaliza kulitembelea na kuapata maelezo ya kina kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Asaa Omar Hamad (kushoto) baada ya kulifungua rasmi (kulia) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakari
Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria,uliofanyika katika meneo ya Mazizini nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi
ya Viongozi na wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara ya katiba
na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya Viongozi ,waalikwa na wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara
ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya wafanyakazi mbali mbali wa Idara katika Wizara ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla ya sherehe za Ufunguzi wa Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria,ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Picha na Ikulu.