HATIMAYE VIJIJI VINNE WILAYANI HANANG’ VIMEPOKEA HATI ZA HAKIMILIKI ZA KIMILA ZA ARDHI

October 06, 2015

  Mzee wa heshima akielezea historia ya umiliki wa ardhi miaka ya nyuma ukilinganisha na sasa.
 Wanakijiji wakifuatilia tukio la makabidhiano ya hati za hakimiliki za kimila za vijiji vya Mureru, Ming’enyi, Dirma na Gehando vilivyopo wilayani Hanang’.
 Makko Sinandei Mratibu wa Miradi wa shirika la UCRT alisema wamekutana na
changamoto za migogoro ya mipaka katika vijiji ambayo inazuia kushindwa
kupima mipaka katika vijiji husika.
 
 Baadhi ya akina mama wa Kijiji hicho wakifuatilia tukio.

 Eveline Mirai, afisa ardhi wa wilaya ya Hanang’ alitoa
wito kwa wananchi kuheshimu mipaka inayowekwa kisheria kwa sababu
mipaka hiyo inawekwa kwa gharama na wananchi wenyewe wanakuwa
wameikubali.
 Laurent Wambura Meneja wa program ya ufugaji kutoka Oxfam aliwapongeza wakazi
wa vijiji hivyo vinne pamoja na wananchi mmoja mmoja ambao nao walipokea
hati zao siku hiyo.
 Mkutano ukiwa unaendelea huku wanakijiji wakifuatilia.
 Mmoja wa wanakijiji akiongea wakati wa Shughuli hiyo ya kukabidhi hati.
 Mgeni rasmi wa hafla hizo katibu tawala wa Wilaya ya Hanang’ John Gabriel akizungumza kabla ya kukabidhi rasmi vyeti.
 Mwenyekiti wa kijiji cha Mreru James Gejaru akipokea hati ya hakimiliki ya ardhi ya kimila ya kijiji chake.
 Kaimu Mwenyekiti wa kijiji cha Dirma Agustino Majawa akipokea hati ya hakimiliki ya ardhi ya kimila ya kijiji chake
 hati ya hatimiliki ya kimila
  Mwanakijiji akipokea hati ya hakimiliki ya ardhi yake
 Mwanakijiji akipokea hati ya hakimiliki ya ardhi yake
 Wananchi na viongozi wa Serikali ya kijiji  wakipitia kwa makini hati za hakimiliki za kimila za ardhi.
Sherehe zilipambwa na ngoma ya wa-Barbaig

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »