RAIS WA NAMIBIA AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI

October 12, 2015



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Dkt.Hage Geingob wa Namibia wakitumbuizwa na vikundi vya sanaa katika uwanja wa ndege wa mwalimu JK Nyerere Jijini Dar es Salaam,Oktoba 12, 2015.

Marais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Dkt.Hage Geingob wa Namibia wakipokea heshima ya Urais wakiwa katika jukwaa maalum,Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini  Oktoba 12, 2015-



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini leo Oktoba 12, 2015  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »