Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia
baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere
Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na
Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia
moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation
12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za
Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akiangalia mikanda ya
DVD zinazomuhusu Mwalimu Nyerere wakati alipotembelea banda la Mwalimu
Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na
Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia
vitabu wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana
na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. Kushoto ni Maafisa Vijana wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia
baadhi ya kazi za sanaa za ufundi wakati alipotembelea banda la Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika
Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Kushoto ni Afisa Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, Bwana Mussa Nyoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia
baadhi ya kazi zinazofanywa na Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza,
wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha
Mbio za Mwenge mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu
na Michezo ya Kuigiza, Bi. Joyce Fissoo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (mwenye batiki
nyekundu) akipewa maelekezo ya namna ya kutumia Kamera ya kisasa ya
kutengenezea filamu wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki
ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA