Kaatibu Mkuu wa Wizara ya fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servcius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa
Fedha kuhusu serikali ya Tanzania mipango yake hasa kwenye miundombinu.
Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete na kushoto
kwake ni Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard. ilivyonufaika na fedha za
Benki ya Maendeleo katika kutekeleza
Waziri wa Fedha wa Rwanda Mhe.
Claver Gatete akitoa ufafanua wa masuala mbalimbali yanayohusu nchi za
Afrika. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu
wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile ambaye amemwakilisha Waziri wa
fedha na kulia kwake ni Waziri wa Fedha wa Ethiophia Mhe. Fisseha
Aberra.
Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi
kuhusu Tanzania inavyoshirikiana na Benki ya Afrika kwa Mawaziri wa
Fedha kutoka nchini Rwanda, Ethiophia, Kenya na Visiwa vya Shelisheli
wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya utekelezaji wa mazimio ambayo kila
nchi imejiwekea.
Kamishna wa Fedha za Nje Bwana
Ngosha Manyoga akiwa katika majadiliano yanayohusu ya ripoti ya
utekelezaji wa mpango wa mafanikio katika nchi za Africa.
EmoticonEmoticon