Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi Billioni 12.3 kutoka Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe,Saoud Al Ruqaishi ikiwa
ni msaada kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa kiwanda cha upikaji Chapa
(kushoto Balozi Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla
Al-Rashdi hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe,Saoud Al Ruqaishi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe,Saoud Al Ruqaishi baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
EmoticonEmoticon