Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga aliyesimama akiongea na
washiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana
Naibu Waziri Wizara ya Dkt.
Mahadh Juma Maalim (Mb) akifungua Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa
Bara la Afrika iliyoanza jana jijini Dar es Salaam.wa kwanza kulia ni
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba
Nkinga na katikati ni Balozi kutoka Umoja wa Ulaya Mh. Filiberto
Sebrigondi.
Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini
Tanzania Bi. Zulmira Rodrigues akiongea na washiriki waliohudhuria
katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Bara la Afrika hawapo pichani
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Mb) Dkt. Mahadh Juma Maalim akiwa
katika picha ya pamoja na Viongozi waliohudhuria katika Hafla ya
Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika yaliyofanyika jijini
Dar es Salaam jana.
Mhadhiri wa Sheria na
wanaharakati wa haki za binadamu, Prof. Issa Shivji akiongea na
washiriki waliohudhuria katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Bara
la Afrika hawapo pichani iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Picha na Daud Manongi
EmoticonEmoticon