Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akitoa hotuba yake ya ufunguzi wakati wa mkutano wa mabalozi wa
Tanzania.Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa,unaojadili kwa kina namna ya kutekeleza dira
mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya
Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini. (Watatu Kushoto),
Waziri wa Mambo ya Nje Mh.Bernard Membe,Wanne kushoto ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Balozi Liberata Mulamula.
(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon