Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akijiiandikisha katika kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Ofisi ya
Mtendaji wa Kata ya Kibaoni iwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kushoto ni
Mwandikishaji wapiga kura, Auxilia Gaspar. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha
katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni i wilayani
Mlelele Machi 25,2015. .Kulia ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahim
Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius
Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu
Pinda akichukuliwa maelezo wakati alipojiandikisha katika kituo cha
kuandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha
Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura,
Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu
Pinda akichukuliwa alama za vidole wakati alipojiandikisha katika
kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingii Kakuni katika
kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015. Kulia ni Mwandikishaji
wapiga kura, Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon