Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza
ya kipengele cha mawasiliano kwa Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi,
Eric Stephen kwenye maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Mkoani
Lindi mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Mauzo
wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen(kulia) na Afisa Utawala Tigo Lindi,
Jacob Masawe wakipozi na kombe walilopata la tuzo ya ushindi wa kwanza
ya kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane.
Afisa Utawala Tigo Lindi, Jacob
Masawe(kushoto),Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric
Stephen(katikati) na Meneja wa Tigo kanda ya Pwani Kusini mikoa ya Lindi
na Mtwara, Nderingo Materu wakipozi kwenye picha ya pamoja.
Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen akinyanyua kombe juu.
Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen akiwa kwenye picha ya pamoja na kikundi cha burudani