Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi Fionuala
Gilsenan akiongoza ujumbe wa Wabunge wa Ireland walipofika Ikulu Mjini
Unguja leo [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi Fionuala
Gilsenan (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Wabunge wa Irelenad
walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa mazungumzo , [Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon