Wachezaji
wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli
katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba
yamefungwa katika kipindi cha kwanza huku bao la kwanza likifungwa na
Awadh Juma katika dakika ya 30.
Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yao.
Andreu Coutihno, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba...
Mchezaji
mpya wa Yanga, kutoka nchini Liberia, Kpah Sherman. akisomba kijiji cha
mabeki wa Simba.... Hadi hivi sasa tayari jumla ya mashabiki wanne wa
rimu ya Yanga wameshazimia uwanjani hapo. KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA KAA
NASI YATAKUJIA HAPO BAADAYE
EmoticonEmoticon