Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo kidogo cha mabasi Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa wametundika ndizi aina ya mkono wa Tembo kwa staili ya kipekee. Kidole kimoja kilikuwa kikiuzwa kati ya shilingi mia 600 hadi mia 800.
Wafanyabiashara wa matunda na ndizi kituo kidogo cha mabasi Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa wametundika ndizi aina ya mkono wa Tembo kw staili ya kipekee. Kidole kimoja cha ndizi kilikuwa kikiuzwa kati ya shilingi mia 600 hadi mia 800 kulingana na ukubwa wake.
EmoticonEmoticon