Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi
Mama Salma Kikwete akishangiliwa na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la
Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri wilayani Lindi Mjini wakati
alipowasili tawini hapo kwa ajili ya mkutano wa ndani tarehe 13.12.2014.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini
Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la
Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini wakati wa kikao
cha kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika
tarehe 14.12.2014
Baadhi
ya mamia ya wananchi wa Lindi Mjini waliojumuika na wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za
mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.
Wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini
hapo kwa ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia
uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe
14.12.2014.
Wajumbe
wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa
NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini hapo kwa
ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia uchaguzi
wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe 14.12.2014.
Mke
wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete
akipokea kadi kutoka kwa mwanachama wa Chama cha Wananchi, CUF, Ndugu
Rukia Seleman Ngodo aliyeamua kuachana na chama hicho na kujiunga na
Chama Cha Mapinduzi wakati wa kilele cha kampeni ya uchaguzi wa serikali
ya mitaa unatarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Kilele hicho
kilifanyika katika Kata ya Makonde huko Lindi Mjini.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete
akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa
Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za
mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe
14.12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete
akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa
Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za
mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe
14.12.2014.
EmoticonEmoticon