Waziri wa Nishati, Mheshimiwa
Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu
ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa
kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi
cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi
Boniface Gissima (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu
ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa
kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi
cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya
Bunge ya Nishati na Madini, Mheshimiwa Dotto Biteko akiongoza kikao cha
pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya
nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani
wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa
fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo
Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa Innocent
Bashungwa (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe
wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na
Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na
kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA
katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine
ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa Chonga Mheshimiwa, Juma khatib
(kushoto) na Mbunge wa Musoma Mjini Mheshimiwa,Vedastus Manyinyi
(kulia).
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Mjini, Mheshimiwa
Vedastus Manyinyi (aliesimama)akizungumza katika kikao cha pamoja baina
ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati
walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa
kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za
miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini
Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo na Mbunge wa karagwe,
Mheshimiwa, Innocent Bashungwa
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Kiza
Mayeye (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa
kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na
Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na
kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA
katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine
ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa kinondoni Mheshimiwa, Maulid Mtulia
(kushoto) na Mbunge wa Bukoba Mjini Mheshimiwa, Wilfred Lwakatare
(kulia).
PICHA NA OFISI YA BUNGE