Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara maalum
kukagua masuala mbalimbali ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
sambamba na kuzungumza na viongozi wa Mamlaka hiyo kwenye eneo la makao
makuu yake yaliyopo ndani ya hifadhi.
Katika
ziara hiyo, Waziri Dkt. Kigwangalla ameweza kupokea kupokea maoni na
masuala mengine ya kuendeleza Mamlaka hiyo ya Ngorongoro.
Waziri yupo Ngorongoro kwa muda wa siku mbili ambapo pia amepata kutembelea maeneo ya hifadhi yenye migogoro na wafugaji.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na
viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi
ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha
wageni wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro
leo Oktoba 25,2017
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka
kwa viongozi wa hifadhi hiyo wakati alipowasili kwenye makao makuu ya
hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka
kwa mhifadhi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya
hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Waziri
wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akisikiliza maoni
kutoka kwa viongozi wa hifadhi ya Ngorongoro wakati alipowasili kwenye
makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25,2017
Andrew Chale
Blogger
Personality | Journalist | Activist | Online Editor dewjiblog |
Comedian |Volunteer Red Cross | Sauti za Busara & ZIFF Festivals
2007 to present.
Email: andrewchale@gmail.com
Telephone: +255222122830 Fax: +255222126833
Golden Jubilee Towers, Ohio Street,20th Floor
Po Box 20660, Dar es Salaam,Tanzania
EmoticonEmoticon