Mgombea
Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala Kupitia Chama cha
Mapinduzi Ccm akishangiliwa na baadhi ya Wanachama wa chama cha
mapinduzi ccm Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipo kuwa katika kampeni zake
za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini
kupitia Chama chake cha Ccm.Picha Zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo
Mbeya.
Meneja
kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha
Mapinduzi Ccm ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano
wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.
Mgombea
Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mh.Sambwee Shitambala
akizungumza na Wananchi wa kata ya maanga Jijini Mbeya, katika mkutano
wa adhara wa kampeni ya kumba kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya
Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ccm.
Baadhi ya Wanachama na Wananchi wa Kata ya Maanga wakipunga Mikono.