DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI MPYA WA INDIA NCHINI NA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA.

September 11, 2015

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
[Picha zote na Ikulu.]
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  mgeni wake  Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya  aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar,
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza   aliyefika leo kwa ajili ua kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar.
5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza   aliyefika  kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana mgeni wake  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza  baada ya mazumngumzo  alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »