Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya
madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika Kituo Kikuu cha Mabasi
Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es
Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Sadiki.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya basi la mwendo wa
haraka wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo
haraka uliofanyika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam
Babasi ya wendo wa haraka yaliyoingia nchini kutoka nchini china,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), akizungumza katika uzinduzi huo.
Wadau mbalimbali na wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo.