KAMATI KUU YA CCM YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE MAJIMBO 9 YALIYORUDIA UCHAGUZI

August 17, 2015

NAPE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii katika ofisi ndogo ya Makao makuu CCM Lumumba wakati alipotangaza wagombea ubunge waliopitishwa na Kamati Kuu ya CCM katika majimbo 9 yaliyorudia uchagmuzi.
…………………………………………………………………………..
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaa chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia.
Wagombea Ubunge walioteuliwa na majimbo yao kwenye mabano ni:-
  1. Ndugu Jerry Slaa           –        (Ukonga) Dar es Salaam
  2. Ndugu Edward Mwalongo          –        (Njombe Kusini) Njombe
  3. Ndugu Venance Mwamoto          –        (Kilolo) Iringa
  4. Ndugu Raphael Chegeni           –        (Busega) Simiyu
  5. Ndugu Edwin Ngonyani          –        (Namtumbo) Ruvuma
  6. Ndugu Mohamed Mchengerwa-        (Rufiji) Pwani
  7. Ndugu Norman Sigara   –        (Makete) Njombe
  8. Ndugu Martin Msuha –        (Mbinga Vijijini) Ruvuma
  9. Ndugu Joel Makanyanga Mwaka-        (Chilonwa) Dodoma
Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
17/08/2015

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »