RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumza na kujitambulisha baada ya kuchaguliwa kuchukua
nafasi hiyo kuiongoza kwa kipindi cha miaka mitano.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzu Dk. Ali Mohamed akiwa na mgeni wake Mwnyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dkt. Mndolwa Bernad Edmund, akimshindikiza
baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar alipofika
kujitambulisha
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Katibu
Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka, akitowa maelezo na kumtambulisha
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri James walipifika kwa mazungumzo na
kujitambulisha Ikulu Zanzibar leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akia katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Kitaifa wa UVCCM, baada ya mazungumzo yao na
kujitambulisha Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania (UWT) Thuwaiba Editon Kisasi
alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania, baada ya
mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar walipofika kujitambulisha.
Picha Ikulu