Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya
utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe.Sahabu Isah Gada
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Mhe.Sahabu Isah Gada Ikulu jijini
Dar es salaam leo Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba kwa balozi mpya wa
Poland Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
balozi mpya wa Poland nchini Mhe. Krysztof Buzalski Ikulu jijini Dar es
salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya
utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Ikulu jijini Dar
es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya
utambulisho toka kwa balozi mpya wa Uturuki nchini Mhe. Ali Davutoglu
Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea saluti toka kwa mwambata wa
kijeshi wa Ubalozi wa Uturuki nchini Navy Commander Murat Ozen baada ya
kupokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Urturuki nchini
Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na balozi mpya wa Urturuki
nchini Mhe. Ali Davutoglu akiwa na Mwambata wa Kijeshi Navy Commander
Murat Ozen na Katibu wa pili ubalozini Nihat Kumhur baada ya kupokea
hati ya yake ya utambulisho. Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
balozi mpya wa Israel hap nchini Mhe. Noah Gal Gendler Ikulu jijini
Dar es salaam leo Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea hati ya
utambulisho toka kwa balozi mpya wa Israel Mhe. Noah Gal Gendler Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
balozi mpya wa Australia nchini Mhe. Alison Chartres Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 16, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Robert Sirotka,
mume wa balozi mpya wa Australia nchini, Mhe. Alison Chartres (kati)
baada ya kupokea hati za utambulisho toka kwa balozi huyo mpya Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018. Kulia ni Katibu wa Pili
Ubalozini Deanna
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Bw. Robert
Sirotka, mume wa balozi mpya wa Australia nchini, Mhe. Alison Chartres
(kati) baada ya kupokea hati za utambulisho toka kwa balozi huyo mpya
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2018
PICHA NA IKULU