DK.SHEIN AKUTANA BALOZI WA URUSI NCHINI

October 13, 2015

unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya kujitambulisha  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Oktoba 13, 2015.
unnamedc
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha  Ikulu Mjini Zanzibar
[Picha na Ikulu.]

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »