Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Pwani mjini Mkuranga wakati
akiwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na
Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha
vyama mbalimbali vya kisiasa.
Dk. John Pombe Magufuli amesema
mara atakapochaguliwa na kuunda serikali yake atahakikisha anapambana na
Wavuvi haramu wa kimataifa wanaokuja katika bahari kuu ya Tanzania na
kuvua samaki wakubwa kwa magendo huku wakisindika na kupeleka nchi za
ulaya na Asia kwa ajili ya kuuza.
Amesema vita hiyo ni lazima iwe
kubwa na tuhakikishe tunalinda maliasili za taifa ili watanzania waweze
kufaidika na rasirimali zao na kuwajengea uchumi imara wa nchi.(PICHA NA
JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-MKURANGA)
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika mjini Mkuranga mkoa wa Pwani.
Baadhi ya vijana wakiwa wamepanda
kwenye Roli la mafuta ili kumuona Dk. John Pombe Magufuli wakati
aliposimama mjini Kibiti na kusalimiana na wananchi akitokea mkoani
Lindi kuelekea mkoa wa Pwani kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibiti wakati aliposimama na
kuwasalimia akielekea mkoani Pwani.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika
mkutano wa kampeni mjini Kibiti huku wakiwa wameshikilia mabango yenye
pivha ya mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu Rashidi.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu
Rashidi katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kibiti.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza
mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli hayupo pichani wakati akiwahutubia
kwenye mkutano wa kampeni mjini Kibiti.
Baadhi ya wagombea udiwani wa Kibiti wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wananchi wakifuatilia mkutano huo mjini Kibiti.
Baadhi ya viongozi mbalimbali [amoja na wananchi wakiwa katika mkutano huo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akihutubia wananchi wa Kibiti mkoani Pwani wakati akiomba kura.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wakati akisalimiana nao katika kwenye
kijiji cha Marendego wilayani Rufiji.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika
jimbo la Nchinga mkoani Lindi.
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nchinga Ndugu Mudhihir Mudhihir akimuombea kura za ndiyo Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wananchi ukimsikiliza
Mgombea Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika
jimbo la Nchinga.
Mgombea ubunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wakati akimnadi mgombea ubunge wa jimbo
la Mkuranga Ndugu Ulega.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa Mkuranga huku akionyesha Dole
akisaidiwa na mgombea ubunge wa jimbo Ndugu Ulega.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo wakati aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga
Mh. Adam Malima akimuombea kura Ndugu Ulega aliyesimama kulia