Rais Kikwete apewa Tuzo na TASWA

October 13, 2015

unnamednnMwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Oktoba 12, 2015.
Picha na Freddy Maro

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »