MAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS WA UKAWA JIJINI MBEYA

August 15, 2015

New Picture
New Picture (1)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa akiwapumbia maelfu ya
wakazi wa Jiji la Mbeya, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Rwanda
Nzovwe, Ilomba leo Agosti 14, 2015. Mh. Lowassa na Mgombea mwenza
wake Dkt. Juma Haji Duni, walikuwa jijini humo kwa ajili ya zoezi la
kutambulishwa kwa wananchi.
New Picture (2)
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”
akimueleza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Edward Lowassa,
wakati akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mbeya.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »