JAJI MALLABA AKABIDHI OFISI ZA NEC KWA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI KAILIMA KOMBWEY

August 15, 2015
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi nyaraka za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini Dar es Salaam. -- ---- Cathbert Angelo Kajuna, Founder and Mananging Director Kajunason Blog, P.O Box 6482, Dar es Salaam. Tel: +255 787 999 774 Alt: +255 765 253 445 www.kajunason.blogspot.com "Everything is Possible Through Peace & Stability'

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »