Mwenyekiti wa CCM Taifa
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya
CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu
Dodoma.Ndugu kimbisa alikanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya
kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana (Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Taifa
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya
CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.
Katikati ni Ndugu kimbisa alikanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao
ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni (Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Taifa
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana Katibu mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa mara
baada ya kuwasili mkoani Dodoma leo