Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli akisalimia wanachama wa CCM mkoa wa Mtwara
waliojitokeza kwa wingi kumsalimia kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wana CCM wa
mkoa wa Mtwara nje ya ofisi za CCM mkoa.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli akiwahutubia wana CCM wa mkoa wa Mtwara nje ya
Ofisi ya CCM mkoa na kuwataka wana CCM kuwa kitu kimoja na kuimarisha
Chama.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara
nje ya ofisi za CCM mkoa wa Mtwara ambapo alifika kusalimia na kusaini
vitabu vya wageni.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana an Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.
Halima Dendego akizungumza wananchi waliojitokeza kwa wingi kumsalimu
Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli aliyefika ofisini hapo kutoa
shukrani kwa wadhamini 231 waliomdhamini kwenye nafasi ya Urais mkoa wa
Mtwara ikiwa sehemu ya kutimiza taratibu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Naibu Waziri wa Fedha Mhe.
Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mtwara na kuwaambia Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli atashinda mapema mno.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani akihutubia wakazi wa Mtwara
ambapo alihakikisha kuwa Mtwara itaongoza katika kumpigia kura nyingi
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mbunge
wa Jimbo la Mtwara Mjini Husnain Murji akiwahutubia wana CCM nje ya
ofisi ya CCM Mtwara na kuwaambia kuwa ushindi kwa CCM utakuwa wa
kishindo .