BREAKING NEWS : POLISI WAZUIA MSAFARA WA LOWASSA

August 13, 2015

Polisi wa Mwanga mkoani Kilimanjaro wamezuia msafara wa Edward Lowassa kijiji cha Maroro Wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana Mbatia, Ndesamburo na Augustino Mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.
Msafara wa Lowassa wazuiliwa na Polisi wakati msafara wake ukielekea kwenye mazishi ya Peter Kisumo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »