ACT WALIVYOMTAMBULISHA MGOMBEA WAO WA URAIS, ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA

August 20, 2015

Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwenye Chama cha ACT-Wazelendo ambacho leo kimepitisha majina mawili , Anna Elisha na Mussa Yusuph kuwa wao wagombea urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Tanzania October .
.Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe
Hawa ndio walioteuliwa kugombea urais kupitia chama cha ACT – Wazalendo , Anna Elisha na Mussa Yusuph.
Kitila Mkumbo akizungumza na wanachama.



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »