Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati alipotembelea makao
makuu ya Tume hiyo na kuzungumza na viongozi na wafanyakazi na kuwaaga
rasmi Agosti 20,2015 . Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na
wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa
mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam
Agosti 20,2015 Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea
na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam Agosti
20,2015 Mwenyekiti
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake
katika kuboresha haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi
baada ya Rais Kikwete kuhutubia na kuagana rasmi na wafanyakazi wa Tume
hiyo jijini Dar es Salaam Agosti 20,2015 Watatu kushoto ni Waziri wa
Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa
Serkali Mh.George Masaju Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za
Binadamu Bwana Tom Nyanduga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais Kuwahutubi na kuagana na wafnyakazi
wa tume hiyo Agosti 20,2015
EmoticonEmoticon