SIMBA CEMET YATOA MSAA WA MIFUKO 11O KWA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI TANGA

August 20, 2015




Mhandisi wa kiwanda cha Saruji cha Simba Cement, Benedict Lema (kulia) akimkabidhi mifuko ya saruji 110 yenye thamani zaidi ya shilingi milioni moja na laki mbili , mwangalizi wa watoto kituo cha watoto wanaoishi maisha hatarishi, Consolata Mgamba, ikiwa ni ujenzi wa kisima cha maji, vyumba na vyoo kituo kilicho  Kilapula nje kidogo ya jiji la Tanga.



 Meneja Rasilimali watu kiwanda cha Saruji cha Simba Cement, Diana Malambugi, akimkabidhi mifuko ya saruji 110 yenye thamani zaidi ya shilingi milioni moja na laki mbili mwangalizi wa kituo cha watoto yatima cha Casa Della Giola ikiwa ni ujenzi wa kisima cha maji, vyumba pamoja na vyoo kituo kilichopo Kilapula nje kidogo ya jiji la Tanga.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »