March 07, 2014

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU UCHAGUZI WA JIMBO LA KALENGA

 Msajili
Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akifafanua jambo
mbele ya Waandishi wa Habari  (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye
Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa kuhusiana na masuala
mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga,
ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama
husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16 mwaka
huu.
Pichani
wa tatu kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl
Nyahoza akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo asubuhi kwenye
Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa kuhusiana na masuala
mbalimbali yanayohusu uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la kalenga,
ikiwa ni pamoja na Sheria ya gharama za Uchaguzi kwa wagombea na vyama
husika vinavyoshiri katika Uchaguzi huo utakaofanyika machi 16 mwaka
huu.Shoto ni Bwa.Mihayo Kadete,Erald Martin na kulia ni Isaya Makoko
ambao wote ni Maofisa Sheria kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Baadhi
ya Wanahabari wakiwa kwenye mkutano uliondaliwa na Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa kuhusiana na Uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga
mapema leo asubuhi,na pia Ofisi ya Msajili wa Vya Siasa kujtambulisha
uwepo wake katika zoezi zima la uchaguzi wa Kalenga sambamba na
kuwafahamisha Wananchi zinazofanywa na Ofisi za Msajili wa vyama vya
siasa tangu Maafisa wa Ofisi hiyo wafike mjini Iringa.
Msajili  wa Vyama vya Siasa nchini,Jaji Francis Mutungi akifafanua jambo kwa Wanahabari mapema leo asubuhi,mkoani Iringa.MICHUZIJR-MICHUZI MEDIA GROUP-IRINGA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »