*MATUKIO KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Ismail Aden Rage (mwenye kanzu) na Hashim
Rungwe wakielekea katika ukumbi wa Bunge mapema leo Mjini Dodoma
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mufti, Sheikh Thabit Noman Jongo akiongoza dua ya asubuhi ndani ya ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.
|
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Askofu Mstaafu Donald Mtetemela akiongoza
sala ya asubuhi ndani ya ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma. PICHA NA HASSAN SILAY
|