March 07, 2014

KIKAO CHA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA WAKUU WA MAGEREZA AFRIKA KITAKACHOFANYIKA MSUMBIJI JULAI 2014 CHAFANYIKA NCHINI AFRIKA KUSINI

photoMwenyekiti wa Umoja wa Magereza Afrika, Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Afrika Kusini, Nontsikelelo Jolingana akitoa hoja ya kufungua rasmi Kikao cha Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Magereza Afrika unaotarajiwa kufanyika Nchini Msumbiji Julai 2014. Kikao hicho kimefanyika hivi karibuni Mwishoni mwa mwezi Februari, 2014 Nchini Afrika Kusini na kuhudhuliwa na Nchi Wanachama ikiwemo Tanzania.
Washiriki wa Kikao cha Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Magereza Afrika wakiendelea na majadiliano ya Kikao hicho Jijini Johanesberg, Afrika Kusini hivi karibuni. Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Magereza Afrika unaotarajiwa kufanyika Nchini Msumbiji Julai 2014. image_1Baadhi ya Washiriki wa Kikao toka Nchi Wanachama Barani Afrika wakifuatilia kwa makini mjadala katika Kikao cha Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Magereza Afrika unaotarajiwa kufanyika Nchini Msumbiji Julai 2014.

image_2.

Baadhi ya Wakuu wa Magereza Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga rasmi Kikao cha Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Magereza wa Afrika unaotarajiwa kufanyika Nchini Msumbiji Julai 2014. Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa mwezi Februari 2014 Jijini Johanesberg Afrika Kusini(wa kwanza kushoto mstari wa mbele) ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Afrika Kusini, Nontsikelelo Jolingana(wa kwanza kushoto mstari wa nyuma) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela( wa pili kulia mstari wa mbele) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Msumbiji, Dkt. Eduardo Mussanhane (wa kwanza kulia mstari wa nyuma) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania, John Casmir 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »