March 09, 2014

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA “NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA”

Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema “Nini mvua sisi tunataka sera tu, tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)”PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 3 
Wananchi wakinyanyua mikono0 yao juu kuonyesha ishara ya kumkubali Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani.
9 
Msanii Dokii akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tanangozi kata ya Mseke. 10 
Wananchi wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Tanangozi. 11 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »