Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda
Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye Gadi ya Jeshi ya heshma
pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda
Paul Kagame wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili
(hazionekani pichani ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa
Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais
wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia frame ya Picha ya Kiasili
aliyokabidhiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza
kwa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kumpokea mgeni wake Rais wa
Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU