Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi
nyenzo za kazi Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu
Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Mhe. Dotto Mashaka Biteko akila kiapo cha
Uadilifu cha Viongozi wa Umma baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Mhe. Dotto Mashaka Biteko akiongea machache
baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakimsikiliza Spika Job Ndugai akizungumza machache baada ya
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu
Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Januari 8,
2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha
ya pamoja na viongozi baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko
kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Januari 8, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini waliohudhuria
kwenye hafla ya kuapishwa Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri
wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018.
PICHA NA IKULU.