Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla Charles
Singili Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la T. Marc Tanzania pamoja na
Diana Kisaka Mkurugenzi wa Shirika la T.Marc Tanzania wakikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa ofisi za shirika hilo zilizoko Kunduchi
jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki , Shirika hilo linajihusisha na
shughuli mbalimbali ikiwemo utoaji wa elimu katika masuala ya ukimwi,
Malaria na Elimu ya Uzazi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitembelea
mabanda yaliyokuwa yakionyesha vitu mbalimbali pamoja na vijarida
vinavyota elimu katika masuala mbalimbali kama vile Ukimwi na Malaria.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana
na Mkurugenzi wa kampuni ya Montage Bi Teddy Mapunda wakati alipowasili
katika ofisi hizo tayari kwa uzinduzi kutoka kulia ni Diana Kisaka
Mkurugenzi wa shirika la T-Marc Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili alipowasili katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili akizungumza na waandishi wa
habari kabla ya uzinduzi huo kufanyika kutoka kushoto ni Doris Chalambo
Meneja wa Mipango na Diana Kisaka Mkurugenzi wa T- Marc Tanzania.
Diana Kisaka Mkurugenzi wa T-
Marc Tanzania akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo
kutoka kulia ni Mjumbe wa bodi ya T-Marc Tanzania Mwanasheria Alex
Mgongolwa na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Tanzania Bw.
Charles Singili.
Doris Chalambo Meneja wa Mipango
wa T-Marc akifafanua jambo wakati akizungumza nawaandishi wa habari
wakati wa uzinduzi huo katika picha kutoka kulia ni Mjumbe wa bodi ya
T-Marc Tanzania Mwanasheria Alex Mgongolwa, Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc
Tanzania Bw. Charles Singili na Diana Kisaka Mkurugenzi wa T- Marc
Tanzania.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya shirika la T-Marc Tanzania.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi Bw. Charles Singili
Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka na Mwanasheria Alex Mgongolwa
na baadhi ya wafanyakazi wa shirika la T-Marc Tanzania.