Hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya Mwanza

October 26, 2017
Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »